iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,918
- 2,150
- Thread starter
- #21
Bei yake sio mchezoGari chakavu kabisa hii. Weka gari kuanzia ya 2020. Wengine hatutumii magari chakavu
Sent from my Nokia 5.3 using JamiiForums mobile app
Bei yake sio mchezoGari chakavu kabisa hii. Weka gari kuanzia ya 2020. Wengine hatutumii magari chakavu
Hamna haja ya kuwaza mafuta mafuta kikubwa sheli za mafuta ziwepo tu kiongoziMkuu vipi ulaji wa mafuta ukilinganisha na Ist?![]()
Hesabu za motivational speaker hizoYani hiyo gari toka imetengenezwa hadi Leo ukifanya depreciation ilitakiwa iuzwe 2-3 M tu.
Lakini kwa crown athlete 3.5 Majesta inabaki nyuma na V8 yake.Hiyo 180 chap chap tayari imeisha.. ni gari nzuri sana luxury ya kutosha hapo