Asante mkuu Umkh.........
,umenifurahisha mimi si muuza magari ndg yangu wala sina utaalamu. utakachoniuliza nitakujibu kama nakijua. Utaalamu wa kuweka picha sinao ingawa nazo ukiweka utagombana bure na baadhi ya wateja ,nimejitolea kama litakuwa halijanunuliwa nilikuletee ufanye phyiscal analyisis,kama hauko Dar nitashindwa mkuu.
Mbona mengine nimeyajibu na bado unayauliza?Mwaka 1995,soma kwa waliouliza hapo juu pia.
Mimi mengine siyajui ukiniuliza history ya gari inapatikana wapi, sijui maana mim nililinua kwa kampuni Japan, hawakunipa history sasa niitoe wapi-ndio maana mengine yananishinda ndg yangu.
Kama wewe ni mteja mtalajiwa nieleza niikuletee uione -hamna commitment!
Asante ndg.