Toyota Corolla limited nauza 3.5 milioni

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,730
Corolla limited, inatembea, iko ktk hali nzuri kabisa, iko Morogoro mjini
113,000 km
2.0 L
Full AC
Automatic...
Kama unataka gari kwa bei poa, nunua hii, best fuel economy
Call 0717535794
 
Gari nzuri,ila nimependa Hao kuku walivyojifanya mashahidi.
Yaani huyo kuku Mweusi sijui sio kama SHAROKUKU,maana amekaa kama anacheza NGOLOLO.
Au uliwawekea mziki mkuu
 
hahaha wewe una mambo loh u made my moment
 
Gari nzuri,ila nimependa Hao kuku walivyojifanya mashahidi.
Yaani huyo kuku Mweusi sijui sio kama SHAROKUKU,maana amekaa kama anacheza NGOLOLO.
Au uliwawekea mziki mkuu

👍👏👏 acha utundu ww...gari hilo hapo...bei ya jioni...
 
Weka Picha Unishawishi, Mbona Hazionekaniki?Usiweke Kwenye Wasap Wengine Sm Zetu Hazina Uwezo
 
Corolla limited, inatembea, iko ktk hali nzuri kabisa, iko Morogoro mjini
113,000 km
2.0 L
Full AC
Automatic...
Kama unataka gari kwa bei poa, nunua hii, best fuel economy
Call 0717535794

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah Wapi! Hiyo Lazima Tu Itakuwa Full MKWECHE. Bora Nitembee Zangu Kwa Miguu Tu Inatosha!
 
Naona wenye nyumba yao wanaandamana kwa masikitiko kupinga nyumba yao kuuzwa kwa bei ya jioni...
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah Wapi! Hiyo Lazima Tu Itakuwa Full MKWECHE. Bora Nitembee Zangu Kwa Miguu Tu Inatosha!

🏃🚶🏃🚶 Kumbe ww mtu wa kutembea kwa miguu....basi si mnunuaji wa gari, usiseme mkweche wakati ni nzima na iko ktk hali nzuri...ww piga na miguu tu ndugu...
 
 Kumbe ww mtu wa kutembea kwa miguu....basi si mnunuaji wa gari, usiseme mkweche wakati ni nzima na iko ktk hali nzuri...ww piga na miguu tu ndugu...

Tehe tehe tehe............................Hapa Mwendo Ni Miguu, Dala Dala Na Mara Moja Moja Boda Boda Na Bajaji!
 
nshapitia mpendwa ila haijanivutia
Kwa nini haijakuvutia mkuu? Usiogope, siyo kwamba hao kuku wanaoonekana wanaishi ndani ya hiyo gari, hapana! Hao ni wa jirani tu walitokea wakati mpiga picha anafanya yake!
 
Tehe tehe tehe............................Hapa Mwendo Ni Miguu, Dala Dala Na Mara Moja Moja Boda Boda Na Bajaji!

Haaahaaaaaa....haki ya Mungu...👏👏 yaani totoz utawaona kwa macho tu..🐭🐭🐭
 
Kwa nini haijakuvutia mkuu? Usiogope, siyo kwamba hao kuku wanaoonekana wanaishi ndani ya hiyo gari, hapana! Hao ni wa jirani tu walitokea wakati mpiga picha anafanya yake!

Jamani hao kuku, imekuwa mushkeli...hawana shida..
 
Mkuu, kiufupi weka picha zingine make hizo watu wanaponda kwamba hiyo gari ipo juu ya mawe na ishakuwa banda la kuku! So, weka picha zingine nzuri ili uvutie wateja!! Kazi njema!!
 
Back
Top Bottom