Kuna jamaa anakiuza 1.2M kama vipi ni PM ila bana ki kimemshinda kwani hela yote inaishia kwa mafundi, tena kina Kabureta, utakuwa unaenda kwa Hussein Makabureta hapo ndo mwake ni MP
Kama unataka simu yako iendelee kujaa namba za mafundi we endelea kutafuta gari la M3. Sikutishi ila huo ndo ukweli otherwise ubahatishe sana lakini mengi yana matatizo.