Habari wana JF,
Tunakodisha gari aina ya Toyota Coaster yenye vitu vifuatavyo;
- Inabeba watu 28
- Air Conditioner(AC)
- Video
- Comfortable seat.
Gari inaweza kukodiwa kwa matumizi mbalimbali kama vile sherehe,misiba,kubeba staf na
tenda mbalimbali.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0714 210 884 na 0754 990 519