Toyota cami

Toyota cami

Picha kwanza haraka ya nn?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
Picha hiyo mkuu DSCF0289_640.jpg DSCF0289_640.jpg
 
huyu jamaa bana muhuni sana aseee ahhh ahhh ahhh weka watu waone plate number unaficha nini hama ya uwizi?
 
Powa usijali nilikuwa sijaiandaa,

Ni T 288BAX, ni ya mwaka 2000, na iliingia DSM JULY 2009. IPO katika hali mzuri saana.
 
Maongezi yapo mkuu? Ili kama inawezekana nije leo hii na 3.5

Kwa desturi, maongezi yanafanywa usokwauso mbele ya chombo. Hakuna lisilowezekana chini ya jua mkuu, ukiiona utatamani kuniongezea baada ya kukupunguzia. kwa sasa nipo Posta club. Kesho Gongolamboto. njoo tuzungumze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom