TOYOTA CAMI... Inazimika

resonanceiduufu

Senior Member
Jul 29, 2016
112
62
Habari za Asubuhi ndugu zangu?

Inazimika engine ikipata joto, na haiwaki tena hadi engine ipoe!

Tafadhali naomba msaada!
 
angalia pia cooling system. yaani hose, radiator, pamoja na kifuniko cha radiator, reservoir ya coolant. Pia badilisha maji au coolant yote.
 
Back
Top Bottom