Toyota cami inauzwa

Toyota cami inauzwa

Madalali wanafanya vitu vya kubahatisha ndio maana wanaweza kuchanganya majina na document wanaona ni sawa tu
 
WADAU GARI ISHAUZWAAAAA...

OVA
 
Madalali wanafanya vitu vya kubahatisha ndio maana wanaweza kuchanganya majina na document wanaona ni sawa tu
Serious buyer haangalii kosa hilo yee anakupgia sim anapenda eneo la tukio anakagua Gari akiridhika nayo....anakagua uhalali wa doc za Gari ndy anafanya malipo...
Syo Mtu mwingine analeta maneno mengiii na kujifanya much knw

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom