Shukran kwa ufafanuziBrevis ni moja ya gari nzuri sana kwa gari za chini ukiwa ndani unakuwa very comfortable Durability ya gari inategemea vitu vingi sana Kwanza Matunzo yaani Service, Barabara unazotumia, Uendeshaji na Uangalizi wake. Kwenye matumizi ya mafuta basi Brevis naweza sema kuwa inatumia vizuri kutokana na aina ya injini yake na ukubwa wake lakini Ukilinganisha matumizi ya Brevis ya Ai 2500 na Ai3000 matumizi yanatofautiana kutokana na ukubwa wa injini zake lakini pia Ukilinganisha na magari mengine Brevis ina kula mafuta japo sio kivile ila kama unaangalia ulaji wa mafuta nunua passo ila kama unahitaji comfotability hii inakuhusu...Ngoja wengine waje wenye ujuzi zaidi wamichosho
Ulitaka ile mayonnaise?Inakula mafuta sana...
Weka picha yakeChukua BMW 320/318 m-spot, hutajuta boss
Twende na uhalisia tusiweke dhana je gari ya cc 1300 na hii Brevis ya cc 2400 au ya 3000 ukiweka lita moja kwa kila moja, je kila moja itakwenda kilometa ngapi?Brevis kama huna mafuta ya 300000-700000 kwa mwezi usinunue
Weka picha yake
Fuel consumption inategemea mambo mengi, service ya gari muhimu saaana.Twende na uhalisia tusiweke dhana je gari ya cc 1300 na hii Brevis ya cc 2400 au ya 3000 ukiweka lita moja kwa kila moja, je kila moja itakwenda kilometa ngapi?
Unaifahamu Mazda rx 8?ina cc 1300 only lkn inakula mafuta kuliko brevis yenye cc 2500. So CC peke haichangii ulaji wa mafutaTwende na uhalisia tusiweke dhana je gari ya cc 1300 na hii Brevis ya cc 2400 au ya 3000 ukiweka lita moja kwa kila moja, je kila moja itakwenda kilometa ngapi?
Ni wachache wanajua practical hii issue ya fuel consumption.Unaifahamu Mazda rx 8?ina cc 1300 only lkn inakula mafuta kuliko brevis yenye cc 2500. So CC peke haichangii ulaji wa mafuta
Hio ni kweli kabisa chief, niliomba ushauri humu jf khs hio Mazda rx 8 watu walivyoona ina cc 1300 wakanishauri kuinunua. Niliinunua lkn hapa katikati nilitafuta mhindi nikamuuzia asee inakula mafuta kuliko nilivyotegemea Ila ni sport car nzuri Sana. Ilikua inachezea 1litre=km 6 only. Brevis haiingii ndani hapo na cc zake zote ilizonazoNi wachache wanajua practical hii issue ya fuel consumption.
na kati ya brevs.cresta na grand mark11 hipi nzuri kwa eka eka za town?Brevis ni moja ya gari nzuri sana kwa gari za chini ukiwa ndani unakuwa very comfortable Durability ya gari inategemea vitu vingi sana Kwanza Matunzo yaani Service, Barabara unazotumia, Uendeshaji na Uangalizi wake. Kwenye matumizi ya mafuta basi Brevis naweza sema kuwa inatumia vizuri kutokana na aina ya injini yake na ukubwa wake lakini Ukilinganisha matumizi ya Brevis ya Ai 2500 na Ai3000 matumizi yanatofautiana kutokana na ukubwa wa injini zake lakini pia Ukilinganisha na magari mengine Brevis ina kula mafuta japo sio kivile ila kama unaangalia ulaji wa mafuta nunua passo ila kama unahitaji comfotability hii inakuhusu...Ngoja wengine waje wenye ujuzi zaidi wamichosho
You said!Mwanaume wa kweli anaanza maisha na Brevis,madem wanapenda sana wanaume wenye Brevis ama Altez,Usijaribu kwenda kwa Dem na Passo ama IST,Unajiaibisha,labda kama ndo umemaliza form four tena unasubiri matokeo!Najua mmenisoma machalii!