Wadau
Nauza TOYOTA BREVIS pichani
CC 2500
Mailage 99,654
Haijawahi kupata ajali yoyote
Ipo Dar es Salaam
Bei Ml.9.3
Mteja serious tuwasiliane kwa namba ya simu 0713 810801
Karibuni
Iko poa sana. CC ni kubwa! Hivyo kimtindo inaweza kuwa na urafiki na maji ya Saudia. Ila Brevis iko very comfortable, na ukiwa na safari utaipenda. Huwezi kuonewa na gari lolote hasa haya mabasi!
Bei pia iko reasonable! Brevis ndani utadhani ni ndege.

Binadamu msipende kuongea bila facts. Hizi gari kuna cc 3000 na cc 2500. Ulaji wa mafuta wa hiyo cc2500 ni wa kawaida sana hiyo cc3000 ndio kidogo noma. Kwasasa namiliki mark x cc 2500. Ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida tu. Tatizo siwezi kwenda petrol station na 10k kama muendesha vitz.

Kaizer ukiwa na haya magari huwezi ingia petrol station kwa 10k lakini vitz. Passo. Fan cargo. IST unaingia petrol station na 10k na gauge ya mafuta inastuka.

Jombaa wanisamehe tu. Ila sijawadharau. Nimeongea ukweli tu. Mtu unaendesha gari kulingana na uwezo wako wa kulihudumia kimafuta na service. Makubwa yana raha yake pia
Haya siyo magari ni vigari, ila mwisho wa siku anaetembelea matakko si mwenzio na umuhimu utaujuwa ukienda kwenye sherehe muda wa kuondoka usiku hata mwenye bajaj utamuona tajiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.