Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Haya siyo magari ni vigari, ila mwisho wa siku anaetembelea matakko si mwenzio na umuhimu utaujuwa ukienda kwenye sherehe muda wa kuondoka usiku hata mwenye bajaj utamuona tajiri.
Kwamba umeenda kwenye mnuso halafu huna usafiri....