DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,984
- 30,871
Nitakutafuta chiefNinayo DGL nipe 6 fixed nikuuzie
Nitakutafuta chiefNinayo DGL nipe 6 fixed nikuuzie
Utani pmNitakutafuta chief
Rangi gani hiyo yako?!Ninayo DGL nipe 6 fixed nikuuzie
Haaahhh!!! Kumbe ndo wewe mwenye brevis DGL rangi damu ya mzee!!,Heshima yako mheshimiwa!Ninayo DGL nipe 6 fixed nikuuzie
DD mil.8.5 mzee baba? Hebu kwa makini bro [emoji38][emoji38][emoji38] tupo DRE kwa sasa!
Dats serious bro!Tumefika DRQ mzee
Dats serious bro!
Mpaka umeiona ujue tuko DRR au DRS mida hiiKuna rush moja DRQ nimeiona Ubungo
Watu wananunua gari kwa kasi mno aisee, latest plate kuiona ni DRM....Soon tunaingia DS,DT,DU,DV,DW,DX,DY,DZ haooooo tunaruka na EA!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa hii kasi mpaka mwezi wa 3 mwakani wale wenye gari namba D wajipange kisaikolojia kutuuzia mikoko 3-5M maana sahivi watu wanajishaua sana na namba D zao. Hata gari likiwa DA mtu anajifanya kukomalia mil.7+
Hakuna mtu hapendi kuagiza gari Japan ila shida ni kumenyeka kutafta mara mbili au zaidi ya pesa ya kuagiza gari Japan kisha niwapelekee vibunda mabwege wa bandarini wale kilaini tu.Si uagize Japan, nashangaa sana mtu unanunua used kwa mtu hapa Bongo, jikaze kidogo agiza used ya Japan
Sio kweli hata huyo naye aliagiza JapanHakuna mtu hapendi kuagiza gari Japan ila shida ni kumenyeka kutafta mara mbili au zaidi ya pesa ya kuagiza gari Japan kisha niwapelekee vibunda mabwege wa bandarini wale kilaini tu.
Wangeruhusu tuagize gari hata zile za dollar 700 kisha tulipie ushuru fixed,aidha 1M tu kwa sedans na hatchbacks, 2M kwa Crossovers na labda 3M kwa SUV's bila kufanya utapeli wa kujitia wanakadiria miaka na CC kama wafanyavyo sahivi maybe ningefikiria kuagiza Japan.
Kimsingi napenda kuagiza gari Japan au Singapore ila utapeli ndio sipendi mkuu. Ndio maana naona aheri nichukue chombo changu cha 5-8M kwa mtu kilichoko na good condition.
Sijaelewa mantiki yako katika hio comment hapo juu ila tu jua kwamba nisichohitaji ni utapeli tu.Sio kweli hata huyo naye aliagiza Japan
Vyuma vimekaza mitandaoni tu huku kitaa watu wanafyatua vyombo balaaKumbe vyuma havijakaza aisee namba zinakimbia hatari sana.. Ngoja wengine tusubiri EAA😀😀