Kuna gas pia mkuuwese mkuu
nzuriiToyota brevis namba D INAUZWA,
Gari ipo kwenye Hali nzuri,
ipo dar
Bei million 8.5....
rView attachment 1196155View attachment 1196154View attachment 1196154View attachment 1196155
Ilitakiwa kuwa em ngapi ?DD mil.8.5 mzee baba? Hebu kwa makini bro [emoji38][emoji38][emoji38] tupo DRE kwa sasa!
6.5m hapoIlitakiwa kuwa em ngapi ?
Poa mkuu6.5m hapo
haitadhuru 😆Poa mkuu
akipunguza nidipu
4.5 cash haina longolongo hyo na Wala sitaki kupunguziana Kama uko serious nipm nikupe contact za dogo nimchukulie ya kupigia misele mjini [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Toyota brevis namba D INAUZWA,
Gari ipo kwenye Hali nzuri,
ipo dar
Bei million 8.5....
rView attachment 1196155View attachment 1196154View attachment 1196154View attachment 1196155
Hiyo bei ni kama vile hutaki kuiuza
upo mbali Sana mkuu4.5 cash haina longolongo hyo na Wala sitaki kupunguziana Kama uko serious nipm nikupe contact za dogo nimchukulie ya kupigia misele mjini [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Nina m47.5mil
Ninayo DGL nipe 6 fixed nikuuzieAngesema 5.5 ningemfuata badala ya kumkimbia
Ninayo DGL nipe 6 fixed nikuuzieNina m4