Nauza Toyota Mark II Balloon.
Kama unahitaji ni tuwasiliane kwa namba hii: 0785 872 256
Kwa nini kuiba bro!Ni ya wizi nini ndugu. Naona ujatoa maelezo ya kutosha kama inatembea au, bei, lakini mbaya zaidi naona kwenye namber plate umeziriba hazionekani. Vipi kwnunani hapo? Watu wanapenda sana kupata taarifa kamili ili waone kama inawafaha au.
Ww ni dalali na kama ingekuwa yako usingeziba namba