babalao 2 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,426 Reaction score 3,308 Nov 26, 2015 #1 Wakuu habarin woote!! Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku? Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu ya huu mchuma. Ahsanten sana.
Wakuu habarin woote!! Naomba kwa wataalamu wa Magari je Toyota Avensis Wagon ni gari imara kwa matumizi ya hapa na pale kwa maisha yetu ya kila Siku? Mwenye uzoefu au kutumia atujuze kidogo juu ya huu mchuma. Ahsanten sana.
babalao 2 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,426 Reaction score 3,308 Nov 27, 2015 Thread starter #2 Ushauri wana jukwaa
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Nov 27, 2015 #3 kila gari lililotengenezwa kiwandani linahimili mikikimikiki ya barabarani, kuwa gari ipi bomba ni wewe tu mtumiaji na njia unayoendeshea ikoje,
kila gari lililotengenezwa kiwandani linahimili mikikimikiki ya barabarani, kuwa gari ipi bomba ni wewe tu mtumiaji na njia unayoendeshea ikoje,
M Mtambwe JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 759 Reaction score 927 Nov 27, 2015 #4 Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe
Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe
babalao 2 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 5,426 Reaction score 3,308 Nov 27, 2015 Thread starter #5 Mtambwe said: Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe Click to expand... Hzo za Europe kwa Tz barabara mchanganyiko zinahimili?
Mtambwe said: Avensis ni moja Katika gari imara na bora kwa Europe, sijui kwa Model zinazotoka moja kwa moja Japan, kwani zinatofautiana na za Europe Click to expand... Hzo za Europe kwa Tz barabara mchanganyiko zinahimili?