Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

Toyota Altezza Inauzwa (Just Imported)

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,692
Reaction score
2,098
Hiyo bei ya wizi..hilo gari aliendi kwa bei hiyo..
 
Hiyo bei ya wizi..hilo gari aliendi kwa bei hiyo..

Hivi unajuwa magari kweli, gari ya 2001 with 65000 mileage unasema haiendi kwa bei hiyo???Kaa pembeni kama hujui magari vizuri
 
Wadau,

Nauza Toyota Altezza, ambayo imetoka bandarini tarehe 01st Nov, 2012

Gari hii ni nzuri na zifuatazo ni details zake.
YOM; 2001
Odometer: 65,000 km
CC: 1,980
Steering: Right
Transmission: Automatic
Fuel: Gasoline/Petrol
Color; Silver
Number of Doors; 4
Price; 14.5Mil (Neg.)
Contacts; 0713 87 56 59/0713 67 49 91
View attachment 70251
View attachment 70252
View attachment 70253
View attachment 70254
View attachment 70255
View attachment 70256
Mi sio mnunuzi ila presentation yako nimeipenda sana kwa kweli. Nimefuatilia post zako za kuuza magari naona una-express kila kitu.

Nashauri wengineo wawe wanafuata hii style.
 
Cif $2300 ushuru umelipa 3.7m halafu unauza 14m ..utawapata mabwege na huu ni wizi..badilika
 
Hivi unajuwa magari kweli, gari ya 2001 with 65000 mileage unasema haiendi kwa bei hiyo???Kaa pembeni kama hujui magari vizuri

We ndo mautumbo kabisa..14m altezza,,,,!!!!! Halafu mileage 65000? Kauze rombo ndo utapata mtu kwa hiyo bei
 
Cif $2300 ushuru umelipa 3.7m halafu unauza 14m ..utawapata mabwege na huu ni wizi..badilika
Huyu rafiki yako lazima somo la biashara lilimpitia kushoto otherwise ndo wale waliotoka shule za kata. Yaani kanunua hicho ki-gari 7M halafu anataka kutulangua kwa 14M.
 
Huyu rafiki yako lazima somo la biashara lilimpitia kushoto otherwise ndo wale waliotoka shule za kata. Yaani kanunua hicho ki-gari 7M halafu anataka kutulangua kwa 14M.
Nina mashaka na calculation zenu, haziko sahihi. Hamjamtendea haki mleta thread kwa sababu zifuatavyo;
1) Mnaweza kuweka link za Altezza zinazouzwa CIF 2,300?? Hiyo sanasana itakua Fob tu, ambapo hata kule japan kwenyewe kuna magharama mengine kama inspection, n.k

2)Gharama sio CIF + Kodi tu, kuna makorokoro mengine kibaao kama Bandari, shipping line, agent fees, n.k

3) Kodi ya Altezza sio 3 7Mil

4)Bei haipimwi kwa Cost tu bila kuweka na faida yake, na ndio maana akasema bei ni negotiable

Nilitegemea great thinkers wachambue kwa style hii Anyway mwenyewe atakuja.
 
u said it all sting. kuna watu hapa with no purchasing power huongoza kuharibu thread. huyu mwenye uzi atauza hiyo gari yake na haitakua chini ya 11.5m, anaesema ni around 7m anadhani ni vitz au Nissan march hiyo??
 
kaka huna haja ya kuwajibu hao wajinga. kwanza hawana hela ya kununua alteza. na pili hawana mafuta ya kuweka katika alteza. ww kaa kimya hamna haja ya kuwajibu. anayetaka ataku pm. au kukutafuta katika cm. hata magari hawana hao. na ukiona analo basi kakodisha au la shemeji zao. achana nao. ni kawaida ya masikini. iko kitu kimesimama. potezea hao kapuku.
 
Ndio nimeona watu vinywa maji wengi sana, Altezza anauza kwa 14 million faida yake ni nini hapo??ina maana hiyo gari imenunuliwa dar au??? fanyeni kwanza calculation before ya kuaribu biashara ya watu, watu hampigi hela alizo spend mpaka kuitoa gari bandarini mnafikiria vitu mteremko ndio maana mnadhurumiwa......

Mkuu mwenye thread wapotezee watu wa ajabu ajabu kama hao
 
We ndo mautumbo kabisa..14m altezza,,,,!!!!! Halafu mileage 65000? Kauze rombo ndo utapata mtu kwa hiyo bei

Hivi kwenye hiyo gari ni ushuru tu ndio aliotoa??? mkuu piga kwanza calculation kwa gari kama hiyo alafu uje utetee hoja yako zaidi me nitaona unaongea kitu ambacho haujui..... Au unaona gari imetengenezewa bongo??Think big acha kuongea vitu usivyojuwa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom