Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
Wadau, nimetokea kuipenda Alteza na ninataka kuinunua. Nimekuwa mpenzi na mtumiaji wa Nissan siku zote, nataka nitumie Toyota hasa alteza kwa kuwa ni sportish na ninapenda ilivyo. Ushauri wangu ninaoomba kwenu mnijuze kwa wale wenye uzoefu na mambo haya katika gari hizi;
1. Uimara
2.Utumiaji mafuta
3.Upatikanaji wa spea
4.Spidi
5. Tatizo lolote ama uzuri wa ziada wa gari hizi.
Mbali na kuwa na mizunguko ya hapa lakini naweza fanya safari za mikoani hasa Arusha, Mwanza, Mbeya na Mtwara.
Naomba ushauri wenu wadau.