B bugzbunny JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 847 Reaction score 763 Sep 21, 2017 #1 Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu?
Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu?
emmanuel mhecha JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 933 Reaction score 547 Sep 21, 2017 #2 bugzbunny said: Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu? Click to expand... Kodi kubwa inadepend Na thamani ya kitu unachonunua
bugzbunny said: Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu? Click to expand... Kodi kubwa inadepend Na thamani ya kitu unachonunua
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,530 Reaction score 6,942 Sep 21, 2017 #3 bugzbunny said: Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu? Click to expand... Za mwaka gani?
bugzbunny said: Ni kwanini allion, INA kodi kubwa kuliko premio? Binafsi ninapenda muonekano wa allion, je kuna tofauti? Yeyote? Mapungufu? Click to expand... Za mwaka gani?
B bugzbunny JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 847 Reaction score 763 Sep 22, 2017 Thread starter #4 Saju b said: Za mwaka gani? Click to expand... 2001 hadi 2004 ndio nimeangalia TRA