Wewe holgrad. Sijui danganya ambao hawajafika uk ukimiliki ki sterlet shukuru mungu mishahara yenyewe pound 6 kwa saa wiki ikiisha huna kitu unaweza kulipia insuarance wewe ukiwa na gari la thamani limbukeni kweli wewe

Mshamba tu huyo kwanza ndugu zake tu huku waliko hawana hata corolla old model af anajifanya kuleta dharau, kama si saiz yako kausha wanaohitaji wanunue.
Nzei model ya 2004
km 79000
cc 1500
Imesajiliwa dec 2013
iko kwenye hali nzuri
ml. 11 na laki tano unachukua gari.
Wasiliana kwa 0782 239892, 0657 326169 au 0713 307072
Wewe ndio mbembez. Bado upo kizani unafikiri kuishi uk ni kuukata mburumatange njoo tukutoe tongotongo ujue dunia ilipo nadhani upo milton wewe au reed