mkuu boxer haisimami kwa toyo wanaokwambia habari za boxer naweza sema wanafata ushabiki tu nunua toyo na service yake fanya hata kwa mwezi mara moja ambayo labda yaweza kuwa ni oil au vi indicator kama ulivivunja basi.Toyo ina nguvu sana na na inahimili mizigo mizito bila kuteteleka,unaendesha ukiwa umerelax hata kwa umbali mrefu huumii mgongo wala kiuno wala mabega kwa ajiri ya kuinama kuifata staring .Nakushauri nunua Toyo