bora ununue baiskeli tu kama ndio ivo[emoji61] [emoji61]kwa mfano hyo oil filter inaweza kuwa bei gani sababu me ninachoogopa ni gharama tu
kwa mfano hyo oil filter inaweza kuwa bei gani sababu me ninachoogopa ni gharama tu
Baada kilomita 1000kayenga oil unabadilisha baada ya mda gan?
Ila hizi boxer zinazoingia sokoni sasa hivi usijaribu mkuu, najuuuuutaa.Boxer ni Mashine hatari, mchina haoni ndani. Kuna pikipiki nyingine Nzuri kuliko Boxer, Honda Ace. Hiyo hata Boxer cha mtoto. Ni ngumu mno, imara na inanusa mafuta, hailambi. Hizi bei yake ipo sawa na boxer na spea ni ghali kama boxer ila uimara na comfortability ni zaidi y Boxer.
Nime zitumia zote Boxer 150 na Honda Ace ila Honda ndio chuma zaidi, Hapo ni Mhindi dhidi ja Mjapani.
Alafu tank lna neno boxer maandish mekundu zle ctak ata kuzickia