Toxic Bachelors!

Cc: money peny uyo sio toxic bachelor bhana

uyo ni boya kama maboya wengine weee period siku saba na wewe unakubali si ufalaa uwo

angekutana na mimi ningemnyoosha vizuri tuu na hapati ata sumni anajikuta mjanja kumbe ndezi kama mandezi wengine tu
 
Natakakujua kwa dhatikabisa.

Wanawake wasioisha kuwaza kuolewa hawawezi kuendesha maisha yao bila kuolewa au wanajibweteza tu?

Halafu, wanaodai usawa na wanaume ni hawa hawa au hao ni wengine tofauti?
Kwakweli siwezi usemea moyo wa mtu ukiniuliza mimi tu utakuwa unakosea
 
ni kweli kabisa money penny aisee wanaume ambao hawajawai kuoa na wapo miaka hyo uliyosema ni very toxic. hawana malengo,wapo aftermoney au papuchi yaani nothing good from them ever bora utafute kiserengeti au lizee
 
Cc: money peny uyo sio toxic bachelor bhana

uyo ni boya kama maboya wengine weee period siku saba na wewe unakubali si ufalaa uwo

angekutana na mimi ningemnyoosha vizuri tuu na hapati ata sumni anajikuta mjanja kumbe ndezi kama mandezi wengine tu
Aisee! Aya weee
Talk is cheap lkn...
 
ni kweli kabisa money penny aisee wanaume ambao hawajawai kuoa na wapo miaka hyo uliyosema ni very toxic. hawana malengo,wapo aftermoney au papuchi yaani nothing good from them ever bora utafute kiserengeti au lizee
Ahahaha bora utafute ben 10!
 
Hahahahahahah!!!!!!!!!Jamaa ndukiiiiiiiiiiiii.
 
Waweza nitumie hyo video ....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…