Habari zenu vingozi!!
Jana Niko zangu kijiweni nikiwa na watu wangu wa Town, kichwani nina machungu ya kubwagwa saa chache baada ya kujijitumua kwa binti fuakani wa chuo hapa town...heh! stori zikanoga si nikaona nami nitoe shauri langu ili lijadiliwe!
Basi washakaji wakanichana eti kuwapata Wadada Wa TOWN Kirahisi, Lazima Nizingatie Kanuni Hizi
- mwaga sera kwa Swaga za ung'eng'e
- Nisiwe na stress hapo ni kujidai mwanzo mwisho ktk utoaji swaga ya kama nitadraw mamilion ya pesa dk chache zijazo!
Hapo Ata ikulu unang'oa..
Eti jamani yanaukweli hayo?