(TOWN)Madada Zetu Bila Kiswanglish, Hawatongozeki Kirahisi!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,504
2,000
Habari zenu vingozi!!
Jana Niko zangu kijiweni nikiwa na watu wangu wa Town, kichwani nina machungu ya kubwagwa saa chache baada ya kujijitumua kwa binti fuakani wa chuo hapa town...heh! stori zikanoga si nikaona nami nitoe shauri langu ili lijadiliwe!
Basi washakaji wakanichana eti kuwapata Wadada Wa TOWN Kirahisi, Lazima Nizingatie Kanuni Hizi
  • mwaga sera kwa Swaga za ung'eng'e
  • Nisiwe na stress hapo ni kujidai mwanzo mwisho ktk utoaji swaga ya kama nitadraw mamilion ya pesa dk chache zijazo!
  • Nisijisifie sana
Hapo Ata ikulu unang'oa..
Eti jamani yanaukweli hayo?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,989
2,000
Kizungu kinapandisha chati. Kinakufanya uonekane una akili, ni wa maana, na umesoma (msomi).
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,023
2,000
Habari zenu vingozi!!
Jana Niko zangu kijiweni nikiwa na watu wangu wa Town, kichwani nina machungu ya kubwagwa saa chache baada ya kujijitumua kwa binti fuakani wa chuo hapa town...heh! stori zikanoga si nikaona nami nitoe shauri langu ili lijadiliwe!
Basi washakaji wakanichana eti kuwapata Wadada Wa TOWN Kirahisi, Lazima Nizingatie Kanuni Hizi
  • mwaga sera kwa Swaga za ung'eng'e
  • Nisiwe na stress hapo ni kujidai mwanzo mwisho ktk utoaji swaga ya kama nitadraw mamilion ya pesa dk chache zijazo!
  • Nisijisifie sana
Hapo Ata ikulu unang'oa..
Eti jamani yanaukweli hayo?

Shule inafunguliwa lini?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,086
2,000
Kweli wewe ni zezeta maswali gani hayo? Matokeo ya darasa la saba yashatoka kama vipi anza tution ya pre-form itakusaidia kuku-keep busy
 
Last edited by a moderator:

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
16,451
2,000
Kwa hiyo unataka ujidanganye mwenyewe, kwamba huna stress, unajua kizungu, unataka kutoa hela benki hata kama hauna..for what? Jitoe kwanza kwenye CHAWAPUTA hizo ni baadhi tu ya athari za nyeto, unakua so artificial.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom