Tovuti ya Tigo Tanzania yadukuliwa, wadukuzi wadai malipo (Ransom) ili waiachie

Ndo imekupata sawa sawa. Makampuni makubwa kuwa hacked haihalalishi tigo nao kuwa hacked.

Mkuu tuseme wewe ni teja wa hayo makitu?

Iweje mambo ya IT na cyber uyatolee mfano na kuyashusha hadhi namna hiyo kwa mifano ya kisengerenyuma ya kina J. Delicious?

Wengine hatutaki kushirikishwa dhambi hiyo kwa kuona hata kusikia.
 
Drive home your point kwamba it is ok TIGO kudukuliwa because it is insigficant as a company?
 
Hii haihalalishi Tigo Kudukuliwa

You mean kuwa na exposure na masuala ya ICT ni kutojua kuwa kudukuliwa ni uzembe? Ndio maana watu wanasoma Cyber Security.
Mimi sijamwelewa kabisa jamaa it is like telling a poor guy not to be concerned if you got robbed! Anyway ndio watz tulivyo kujifanya wajuaji kumbe tunaishi kwa kukariri na ku compare
 
Kila linapotokea janga huwa tunapewa elimu ya kujikinga, katika hilI tufanyeje ili kuokoa Mb's na Dk's zetu?
 
InahalalishaTigo kuwa hacked?
 
Worked with tigo once so i knw wht u r talking about
I second this
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…