Tovuti ya secretarity ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya secretarity ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Ruttashobolwa, Apr 26, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Secretarity ya ajira imezindua tovuta ilikuwezesha matangazo ya kazi kufikia watu kwa haraka na pia kupunguza mianya ya rushwa na kuwezesha kupata watumishi wenye sifa stahiki.Kwani nafasi zote za kazi zitakua zikipatikana humu.
  Tovuti hiyo iliyozinduliwa jana inaitwa

  www.ajira.go.tz
  vijana mmehaswa kuitumia kilasiku ili kuwawezesha kupata kazi.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Asante dogo!!
   
 3. T

  TUMY JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awali ya yote shukrani kwa information mkuu, ni hatua nzuri hiyo naamini watakuwa wawazi katika usaili na kuacha upendeleo.
   
Loading...