Tovuti ya Mwananchi ya funguliwa tena!

Tovuti ya Mwananchi ya funguliwa tena!

Wazuie na habari kwa njia ya sms kabisa....tujue moja
 
Kiukweli ni mambo ya kukurupuka na hii ni dalili iliyo wazi kuwa sheria ya mwaka 1972(!!!!!) imepitwa na wakati lakini wanasiasa wanaitumia kutishana tu na sio kwa faida ya nchi. Mwananchi walisajili gazeti na hawakusajiri website na ukiangalia kiuhalisia haiingii akilini kufungia website.
Nasikia wauza magazeti sasa wanalia njaa maana mwananchi ndilo linatoka sana na commission yao ni nzuri pia.
 
Mkuu umechelewa
wamefungia gazeti ila kwenye dubli dubli ubli ponto mwananchi ponto co ponto tz
tunakula nyuzi kama kawaida mpwa
 
Kwa hiyo unataka na facebook account yao ifungwe?...kwali mmewaamulia.
 
Back
Top Bottom