M mwamagunda Member Joined Feb 27, 2011 Posts 13 Reaction score 0 May 28, 2011 #1 Nahitaji kuwasiliana na CHADEMA kama chama, siyo mtu binafsi. Ningependa kuwaambia jambo, lakini sina namna ya kuwapata moja kwa moja. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivyo!
Nahitaji kuwasiliana na CHADEMA kama chama, siyo mtu binafsi. Ningependa kuwaambia jambo, lakini sina namna ya kuwapata moja kwa moja. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia afanye hivyo!
C Choro Member Joined May 3, 2011 Posts 26 Reaction score 0 May 28, 2011 #2 Bofia hapa Www.chadema.org.tz