Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!

Tourism Board tumewaona Sunderland, Big up!!

Jamesmkude

Member
Joined
May 18, 2015
Posts
60
Reaction score
69
Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
 
Attachments

  • IMG-20161203-WA0007.jpg
    IMG-20161203-WA0007.jpg
    49.1 KB · Views: 51
  • IMG-20161203-WA0008.jpg
    IMG-20161203-WA0008.jpg
    31.5 KB · Views: 55
Tumeona Sunderland wakitangaza na kuhimiza watalii kutembelea Tanzania. Wadau tujadili kuboresha hatua hii.
Wanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.
 
Wanajitahidi, nimeanza kuona hayo matangazo toka msimu wa mwaka jana wakaze buti maana biashara matangazo, Twiga peke yake nyuma ya bombadia ajitoshelezi jitihada za ziada ni muhimu pia.
Ile Bombardier yote wangei-pimp tu kwa michoro ya tinga-tinga
 
Matangazo hayo yapo tangu 2014, nadhan sasa ni muda muafaka wayapeleke CAMP NOU, OT, Darajan nk nk ili kupata coverage ya kutosha. Tutafika tu ingawa haters nao hawachoki kukejeli kila zuri la serikali.
 
Kwani nimesahau yale maneno ya JK... UKITAKA KULA LAZIMA NA WEWE ULIWE KIDOGO .
 
Back
Top Bottom