The Ivorian is also unhappy that Lionel Messi, widely regarded as one of the best players in the world along with Cristiano Ronaldo, is recognised around the world but players like himself are not.
Toure kweli ni mzuri lkn ukimringanisha viungo wenzake tu kama Gerard, Xavi, Iniesta, Alonso, Modrick bado hawezi kuwaongoza wote hao kwa ubora sasa anapotaka kujiringanisha na kina Messi na Ronaldo ndio anakosea kabisa na kuonekana yupo overambicious.
Anaona kuwa recognized Man city haimtoshi, labda anaona umri unakwenda hivyo msimu huu akiwa kwenye peak bora aseme asikike anaweza kufikiriwa lkn kwa kiwango cha kina Messi ndoto zake zitachelewa sana huku kuna vipaji vipya vya kina Diego Costa, Bale, Hazard wanakuja kwa kasi ya ajabu.
Hujui mpira kalisha makalio chini
Yaya Toure hajasema uongo kuhusu angekuwa Brazilian au European Midfield watu wangemchukulia mkali zaidi!