Yamesalia masaa machache tu kabla dirisha dogo halijafungwa. Spurs wana nafasi moja tu ya mchezaji mpya anayeweza cheza UCL msimu huu endapo watasajili. Nafasi za wachezaji wapya Januari ni 3 na tayari mbili zimezibwa.
Je unadhani ikiwa bado watasajiri wamsajili mchezaji gani? Awe Striker au winger? Maana kuna tetesi wanataka kumrudisha Bale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi mbili zimezibwa na nani mkuu january hii? Nani wamesajiliwa january hii na spurs?Yamesalia masaa machache tu kabla dirisha dogo halijafungwa. Spurs wana nafasi moja tu ya mchezaji mpya anayeweza cheza UCL msimu huu endapo watasajili. Nafasi za wachezaji wapya Januari ni 3 na tayari mbili zimezibwa.
Je unadhani ikiwa bado watasajiri wamsajili mchezaji gani? Awe Striker au winger? Maana kuna tetesi wanataka kumrudisha Bale.
Sent using Jamii Forums mobile app
GebsonNafasi mbili zimezibwa na nani mkuu january hii? Nani wamesajiliwa january hii na spurs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gedson Fernandes na Steven Bergwijn wamechukua nafasi mbili. Le Celso tayari alikuwamo. Taratibu za UCL zinataka timu iwe na ukomo wa majina 17 ya wachezaji wa kigeni (waliolelewa nje ya ligi husika).Nafasi mbili zimezibwa na nani mkuu january hii? Nani wamesajiliwa january hii na spurs?
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you Spurs!!#COYS
Leo ni mtanange na #wananchi wa Manchester na wanakuja kwenye dimba bora zaidi la soka ulimwenguni. Natarajia wataondoka na kipigo japo chembamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka matokeo mkuu.Thank you Spurs!!
Weka matokeo mkuu.
Sidhani. Sioni hilo likitokeaKwa ubora wa kikosi chetu kwa sasa naamini hatutatoka patupu msimu huu. Isipokuwa FA itakuwa UCL. Kabati litapukutwa vumbi msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
lipo wazi kwa FA kama wakijituma
Kikosi ni cha kuimarisha, defence bado haijatulia, ila kwa sasa hatuna mshambuliaji anayeeleweka baada ya Harry kuumiaKwa ubora wa kikosi chetu kwa sasa naamini hatutatoka patupu msimu huu. Isipokuwa FA itakuwa UCL. Kabati litapukutwa vumbi msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Defence na forward zinapwayaKikosi ni cha kuimarisha, defence bado haijatulia, ila kwa sasa hatuna mshambuliaji anayeeleweka baada ya Harry kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app