Tottenham Hotspur F.C. | Spurs | Special Thread

Watu huwa zinagongana ananishangaa nikisema mimi ni shabiki wa damu kabisa wa Hotspur
Mafans wengi wa team famous (liver, man u, arsenal na hizo nyingine) wanashabikia tu sio real fans
Lazima walete maneno wakiona kuna fans wa Spurs au Newcastle. Me sinaga time nao nafanya yangu *To dare is to do
 
Serious inabidi niache sas kujitolea maelezo
 
hii jezi ni balaaa
 
Attachments

  • 20240705_104710.jpg
    20240705_104710.jpg
    455.3 KB · Views: 12
Back
Top Bottom