BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Long time wakati biashara ya supermarket inaibukia ndani ya jiji la DAR nakumbuka eneo hilo ilikuwa moja ya uwanja wa mawindo.ukienda kununua stuffs wadada wazuri wanakuja kukusaidi kuchagua vitu na kukupelekea counter kulipa! litle i knew kuwa unavyoamua kufukuzia hao vimwana nao wanakuwa attention kufukuzia wateje! mpaka inajulikana mteja fulani anahudumiwa na mdada fulani! wote wawindaji!
Naona zama zimebadilika siku hizi sijajua kama haya mawindo bado yapo baada ya kustaafu kitengo hicho.
Wakina mama/wadada wakina Baba tukihudumiwa vizuri uzalendo huwa unatushinda jitahidi kutoka kwenda na mpenzi/mume wako sehemu mbalimbali kuepuka asijeingia majaribuni.
nice karume day though.