Nimefanya hayo lkn sijafanikiwaNenda forgot password jaza utakavyoulizwa then uta create new passwords.
Niko nje ya Darkama upo dar nacte utapata msaada zaidi na kama haupo dar ulizia office zao zilipo kwa mkoa uliopo wewe ila hiyo option ya forget paswood kwenye system yao haina msaada maana mimi nilijaribu ikashindaikan
Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??Totally bored, application inaelekea kunishinda.
Nilifanya application mara ya kwanza lkn sikufanikiwa, sasa nilitaka kulog in inatakiwa username na password.
Password nmeisahau na ilitumwa km spam ktk email, nikienda kwenye spam msgs haipo kwn ishakuwa deleted automatically kwani spam msgs kumbe zinakaa siku 30 tu, kwa kweli nimekosa jibu.
Mwenye msaada pls kabla dirisha la NACTE halijafungwa.
Si kweli.Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Hahaha! Mkuu eti NACTE wana-apply kupitia TCU?Heaven on Earth post: 17098796 said:nilivyosoma nikahisi kuna application inaitwa "Totally bored " ndio imekushinda??
hao NACTE wana apply kupitia TCU? If yes nitafute PM nikuunganishe na my super friend alieko huko akusaidie
Najua basi. ndio maana nikaanza kwa kuuliza hizo admission.Hahaha! Mkuu eti NACTE wana-apply kupitia TCU?
Hizo ni Commission mbili tofauti. Moja inashughulikia kuingia vyuo vya ufundi nyingine kuingia Shahada. Japo zote zinafanya kazi moja ya kudahili wanafunzi katika vyuo mbali mbali.
Hongera kwa nia yako njema ya kutaka kumsaidia.
Le super friend.... Le Tumbo Kubwaaz nn kama LeMnyamaz?
Wanajitegemeanilivyosoma nikahisi kuna application inaitwa "Totally bored " ndio imekushinda??
hao NACTE wana apply kupitia TCU? If yes nitafute PM nikuunganishe na my super friend alieko huko akusaidie
Wewe acha matani kwenye suala kama hili hizo pasward hutumwa na nacte cjui wewe ulicreat ajeee eg suceessfull regestrated from nacte your username is S00758/001000/2077 your pasward is WAcHafU9Tatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Mkuu Jaribu Kucreate Simple Posword Ambazo Ni Vigumu Kusahaulika.
Mimi Binafsi Natumia Surname Yangu Kuwa Ndiyo Pasword Yangu, Unafikiria Nitaisahau??
Hii password inakua created na wao wenyew NACTEnina password aina moja tu ambayo natumia mitandao yote tangu nianze kuingia ulimwengu wa internet isipokuwa ile inayohusu mambo ya kifedha bank au tpesa mpesa nk ndo huwa naibdilisha kila baada miezi 6 naenda nazo kinyumenyume kati mwisho au mwisho mwanzo so ni vigumu kusahau na sijawai kusahau password hata siku moja
pole sana
Sio kosa lakoTatizo Lenu Munahisi Kucreate Strong Pasword Ndiyo Ujanja! Sasa Unaona Complications Hizo??
Mkuu Jaribu Kucreate Simple Posword Ambazo Ni Vigumu Kusahaulika.
Mimi Binafsi Natumia Surname Yangu Kuwa Ndiyo Pasword Yangu, Unafikiria Nitaisahau??
oooh kumbee nikajua labda ni kama JF unachagua mwenyeweHii password inakua created na wao wenyew NACTE
Yap! Mkuu Problem ni kwamba sijawahi Kuapply Nacte, Kwahiyo Nilifikiri Kule Nacte Pia Unacreate Pasword Kama Unavyocreate TCU na HESLB.Si kweli.
Mfumo wa NACTE ndio unatoa password pindi ukjisajiri.
Username (form four index number) na password hutumwa katika email na kwenye namba ya simu ulioisajiri.
Muombaji kamwe hajipangii password ya kutumia.
Mfano: Username: S000/0664/2015 Password: byZWNR39
Hii password ndio alipaswa aitunze.