hambao ndipo tunaposhindwa kupandanua madai ya madaktari na siasa!Pumbavu wewe,kama Mama yako angekuwa amelazwa,then madaktari wagome ungefurahii...Pimbi wewe,Serikari imekubali kukaa chini na kuongea nao,mwisho wa siku hawaji kutoa hoja zao,wanabaki kulia na Miti,hiyo ni akili au Ugolo...Usishabikie kitu cha Kipumbavu wewe..
Unahamu ya kutukanwa asubuhi asubuhi wewe!!! Chezea mutu ingine but siyo REjaO
Acha ujuha ww. Kawahubirie walevi wenzio kulee...!Hapo kwenye Mungu weka Shetani. Tangu lini watu wa maruhani mkamjua Mungu?
Hapo kwenye Mungu weka Shetani. Tangu lini watu wa maruhani mkamjua Mungu?
Naomba Mungu upate ajali sasa hivi au hata ndugu yako....
Siyo kila kitu ni cha kushabikia!!!
Uongozi gani? ule unaochochoea mgomo ndio nina hamu wasagike sagike wote. Tukiwapoteza wachache kwa manuafaa ya wengi kutakuwa hamna kilichoharibika!
aiseeeeeeeeeeeJackBauer taratibu....kuna m'bibi mmoja humu JF ataanza hedhi sasa hivi wakati ni post-menopause tangu loongi!
wenzio hata ma-co yaani clinical officers are doctors na ndio wengi na wanatambulika hivyo,wengine ni ma AMO wote hao ni ma-drs kwa mtizamo wa kina PM na jopo lake hata wanasiasa wengi wanajua hivyo.ila all in all ngoja tuone ubabe kwenye taaluma ya mtu,wakirudi bila madai yao kutekelezwa nitajua wamekarii paracetamol tu na mengineyo.maana wasomi hawa inatakiwa wawe chachu ya ukombozi wa kifkra na hata kulikomboa taifa hili kwa ujumla.Mkuu, yote hayo ya nini! Hebu fikiria endapo jamaa wakiamua kuonekana wapo kazini halafu hawafanyi kazi. Hao ffu watafanya nini? Pinda atafanya nini? Mimi naona mgomo baridi una impact kubwa kuliko kuliko kitu chochote. Wao si wataangalia daftari la mahudhurio tu.
Jana PM alisema watafutwe madaktari kutoka sehemu mbalimbali wakatibu, hivi anajua impact yake? Fikiria daktari aliyemaliza degree yake miaka kumi na zaidi iliyopita halafu hakufanya kazi hospitalini (aliwekwa pale wizarani), leo hii tuaminishwe kwamba akatibu watu, hili si bomu?! Tujiulize, kwa kipindi cha miaka kumi, tumebadili dawa za malaria mara ngapi? Au, kabla ya kuanza kutibu watapata fresher couse. Lakini pia, hivi tuna wanajeshi wangapi maMD jamani? Au labda mkuu alimanisha madaktari wa sampuli gani.
Kwa mtazamo wangu, naona kuna mabaya zaidi yanafuata.......
Watanzania tujiandae historia ya Afrika ya Migogoro,vita na Matumizi mabaya ya Madaraka na raslimali safari hii hatutaikwepa labda kutokee miujiza ya kutuepusha na balaa la Viongozi na wanasiasa walioko madarakani kwa sasa.Tatizo la mgomo wa madaktari kwangu naliona ni kubwa hasa nikizingatia viwango vya utoaji wa huduma hiyo hata kabla ya mgomo huu.Mie nadhan serikali yetu kama wangekuwa na akili timam pesa za nyongeza ya mishahara kama wangekuwa wanasupport sekta ambazo zimepanda kiuchumi ilikupunguza kukua kwa gharama za bidhaa ili kuwapa hakisawa watanzania wote sio viongozi tu......
Naomba Mungu upate ajali sasa hivi au hata ndugu yako....
Siyo kila kitu ni cha kushabikia!!!
uongozi ni busara, uongozi ni maono, uongozi ni upevu wa fikra, uongozi ni maono, uongozi kamwe hauwezi kuwa nguvu!ffu, police mnajisikiaje kutumika kama remote!hamuwazi, hamfikirii, hampambanui!ama kweli igeni wenzenu wa misri, yemen na tunisia