Tosheka na uliyenaye, mfanye akuamini

Tosheka na uliyenaye, mfanye akuamini

Ukikutana na mwanamke ambaye ametoka kuachwa, anakuja na vigezo vyake.

Anakuambia I will treat you like a king IF you treat me like a queen.

Ultimatum zimakuwa nyingi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huwezi achana na kila mtu
Huwezi vunja kila ndoa
Kuna muda inabidi utulie uyajenge
Hapo ndo kimbembe
Utaona moto wake
 
Back
Top Bottom