LIGEDENGE 1
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 184
- 29
Kisa uchakavu wa majengo...ahsanteee. Sirikali sikivu kwa brn hii.
Kisa uchakavu wa majengo...ahsanteee. Sirikali sikivu kwa brn hii.
kweli tuna safari ndefu, hii ni habari au ulikuwa unatuma mesage kwenye simu bahati mbaya imekuja huku.
Kisa uchakavu wa majengo...ahsanteee. Sirikali sikivu kwa brn hii.
nasikitika wapo watu wa muhimu sana waliosoma ktk shule hiyo na haswa ni hawa watatu muhimu :
1. Mheshimiwa jumanne maghembe................................... Waziri
2. Mheshimiwa mathayo david mathayo............................. Waziri
3. Mheshimiwa zitto zubeiry kabwe ( tena huyu alikuwa ni head prefect alipokuwa hapo )..................mbunge
na mijitu mingine mingi tu lakini imeuchuna huku shule ikiwa ktk hali mbaya na ya kutia aibu.
kama imewashinda kwa nini wasiwarudishie wenye shule yao?
hahaha poleni wadogo zangu ce hapo 2meondoka 2012.
Gota na kiparamoto.hahaha poleni wadogo zangu ce hapo 2meondoka 2012.
Nasikia mlikuwa hamfati chakula kule juu ni kweli?Mimi nmeingia 2014 lakn mpk natoka 2016 old mandera bado ipo vile vile haijaanguka hata cha ajabu jiko jipya lililotngënezwa wakat mm naingia limeanza kuharibika kabla ya majengo ya mjerumani.
Ni kweli mkuu maana kwa ile fight siku jengo lingeshuka na watu.Nasikia mlikuwa hamfati chakula kule juu ni kweli?
Kumbe mlikuwa mumeshalimaliza, nyie kwa kula hamjambo...hasa hao HGE na EGMNi kweli mkuu maana kwa ile fight siku jengo lingeshuka na watu.
Kumbe mlikuwa mumeshalimaliza, nyie kwa kula hamjambo...hasa hao HGE na EGM
brain is the beautiful part of the body.
achaa tu mkuuChogo bado yupo?![]()
![]()
achaa tu mkuu