Ma.p.u.mbu yako wewe, maharamia wakubwa nyie. Dawa yenu inachemka, vuteni subraLeo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.
Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.
Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.
Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.
Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.
Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Mkuu toa neno la laana kwa hawa jamaa usipite hivi hiviSasa kutesa mtu mpaka aseme baada ya maumivu,haiwezi kuwa jambo la weredi,zaidi ni ujinga na kukosa akili,mateso yakitumika kwa watu waliokamatwa kwenye vita,mfano kama wale magaidi angalau inaweza kusaidia.
FBI waliweza kukamata mtu aliyeshiriki kulipua ubalozi wao,mpaka wanakuja bongo,walijua gereji ya kimara alipotengenezea vilipuzi,mpaka alipokuwa anaishi magomeni,waliyajua yote hayo bila kupiga mtu Wala kungoa kucha,wakati huo polisi yetu ilikuwa inakamata watu na kuwalundika tu
Mkuu toa neno la laana kwa hawa jamaa usipite hivi hiviMa.p.u.mbu yako wewe, maharamia wakubwa nyie. Dawa yenu inachemka, vuteni subra
Hao wameshalaaniwa siku nyingi, labda tuwaombee laana ifike kwa vizazi na vizazi huko.Mkuu toa neno la laana kwa hawa jamaa usipite hivi hivi
Kutesa siyo njia sahihi ya kupata ukweli. Mfano, ukimtesa mtu ambaye hajui kitu kuhusu habari unayotaka au unayoitafuta utapata ukweli gani? Kwa hiyo, kuna mambo mawili: 1) unaweza ukamtesa na ukapata ukweli na 2) unaweza kumtesa mtu na usipate ukweli (kwa mfano kama kesi ni ya kupika). Kwenye haki jinai kuna kanuni inayosema 'better that 10 guilty persons escape, than that one innocent suffer' ambayo msingi wake unatoka kwenye Kitabu cha Kutoka (Genesis) 18:21-32. Benjamin Franklin, mmoja wa waanzilishi wa taifa la Marekani aliwahi kusema "it is better a hundred guilty persons to escape than one innocent person to suffer.” Kwa hiyo, mateso siyo njia sahihi ya kupata habari kuhusu tukio fulani na mahakamani jaji au hakimu akijiridhisha kuwa shahidi alisema uwongo (kwa kukiri alichotakiwa kusema na watesi wake) atatupilia mbali ushahidi wa Jamhuri dhidi yake. Ila kama kuna ushahidi kwamba mtuhumiwa alitenda uhalifu na katika kuteswa akakiri, then kuteswa kwa mtuhumiwa hakuwezi kumsaidia maana hata kama asingeteswa ushahidi bado ungejitosheleza (ungesimama) na jaji au hakimu akijiridhisha hivyo, basi atamtia mtuhumiwa hatiani licha ya kwamba aliteswa ili akiri kushiriki kwake kwenye uhalifu.Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.
Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.
Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.
Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.
Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.
Ni UWELEDI versus MABAVU!!
siku ukichomwa bisibisi matakoni utajua zaidi torture ninzuri kissing ganiLeo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.
Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.
Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.
Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.
Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.
Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Mkuu Umepotea siku hiziHawa jamaa wamelaaniwa
Na mimi nawaalani kwa jina la Allah
Wateseke kizazi chao hadi cha nne
Sasa wewe mkubwa unaposema;Leo twitani kumechafuka na picha ya mtu anayeteswa kwa kuning’ining’zwa kama mshikaki.Ni jambo la kuhuzunisha sana.
Naomba nihitilafiane na wengi ambao wamekilaani kitendo hiki ingawa nami sikiungi mkono ila kwa masharti.
Mahakamani kuna mtu kaelezea alivyoteswa na askari Polisi nami nakubaliana na askari kutumia mateso kama njia ya kupata habari ambayo inaweza kusaidia kuokoa maisha ya wengi.Hili linafanyika nchi nyingi na watu kama wamarekani wanaita “enhanced interrogation” ambapo yamo hata yale mateso maarufu ya “water boarding”.
Tofauti na wenzetu ambao hukusanya taarifa na kumhoji mtuhumiwa kwa muda mrefu na kujiridhisha kuwa kuna habari inafichwa, kwetu sisi kama ilivyosemekana mahakamani within hours mtu keshapelekwa katika mateso makubwa na ya ajabu.Hakuhojiwa hata na wapelelezi tofauti na kisha ku triangulate information ili kujua palipo na wingu.Ni kukamata na kumpeleka mtu katika mateso makubwa.Jambo la pili ni ukubwa wa kosa,kama waliopitia mikononi mwa Polisi wataamua kufunguka kuna watu ambao makosa yao ni madogo sana lakini walikiona cha moto.
Napendekeza PGO iwekewe kipengere cha “enhanced interrogation” na utaratibu uwekwe wazi ili ijulikane ni nani anayestahili kuamrisha haya yafanyike na kwa kosa gani.Isiwe kila askari ana uwezo na mamlaka hayo.
Naamini kuna mahali mateso haya yamesaidia hasa katika kupata silaha zilizotumika katika matukio lakini pia kuna uwezekano kuna watu wamepitia jahanamu hii bila kuwa na hatia.Marais wetu wanaogopa kusaini adhabu ya kifo kwa hofu hii kuu ya uwezekano wa kumyonga mtu asiye na kosa.
Ni UWELEDI versus MABAVU!!
Well said.Sasa wewe mkubwa unaposema;
"...napendekeza PGO iwekewe kipengere cha 'enhanced interrogation' na utaratibu uwekwe wazi..."
Wewe unaijua na umewahi kuisoma PGO achilia kwanza kuielewa...?
Wewe unadhani jambo hili muhimu na maelekezo yake ya namna ya kulitekeleza linaweza kukosekana kwenye utaratibu wa polisi wa kila siku wa kutekeleza majukumu yao as stipulated in the PGO...?
SIKILIZA NDUGU YANGU NA WENGINE WOTE MNAONISOMA HAPA;
##Tatizo hapa siyo PGO...
##Tatizo hapa siyo sheria zinazoongoza utendaji kazi wa jeshi la polisi....
##Tatizo hapa siyo Polisi mwenyewe kama watu...
å Tatizo letu hapa ni MFUMO MBAYA WA UTAWALA unaotoa IMPUNITY kwa viongozi (watawala) wasiowajibika kwa YEYOTE kwa maamuzi yao kiasi cha kujiona wako juu ya SHERIA...!!
##Na kwa kesi hii inayoendelea, tatizo siyo watuhumiwa kuteswa ili polisi kupata taarifa muhimu za kiusalama na upelelezi ili kuzuia maafa...
##Tatizo la polisi na waendesha mashitaka kwenye kesi hii ya Freeman Mbowe na wenzake ni msingi wa mashitaka yenyewe kuwa ni UONGO wenye HILA ndani yake kwa kuwa tu watawala wenye IMPUNITY wanataka kumtoa ktk picha mtu fulani aliye kikwazo cha maslahi yao binafsi...
Udhaifu huu wa polisi katika hoja ya hapo [emoji115][emoji115][emoji115] juu ndiyo ambayo mawakili wa upande wa utetezi wanajaribu kuuweka wazi kwetu na kutufanya kuliona Jeshi la polisi ktk picha yake halisi...
Ndiyo maana, polisi wote (akiwemo RPC wa Kinondoni ACP Ramadhani Kingai kama mbeba mikoba wa kesi) waliokwisha kutoa ushahidi, wamedhihirisha wazi kuwa hawana uelewa na sheria, kanuni na miongozo ya utendaji kazi wao wa siku kwa siku unaojulikana kwa jina la "POLICE GENERAL ORDERS - PGO"...
##Kwa hiyo, kwa kuwa msingi wa kesi yenye ni UONGO, kamwe hawawezi kutumia njia halali mbele ya macho ya sheria kutafuta au kukusanya ushahidi wao...
##Kwa hiyo ndugu kama ni watuhumiwa kuteswa na kutwezwa utu wao kwa njia isivyo halali, imefanyika si kwa sababu hakuna sheria na utaratibu wa kisheria unaowaongoza polisi kukusanya ushahidi wao kwa kutumia njia zote ikiwemo hiyo ya "kutesa au - enhanced interrogation", bali ni kwa sababu ya IMPUNITY isiyo rasmi wàliyo nayo ambayo huwasukuma kutekeleza for their self & personal interest badala ya public interests....!!
Nashukuru kwa matusi yako lakini kwa unafiki wa watanzania nyie ndio mnaomtoa mtu roho kwa kukwapua simu ya shillingi laki moja.Ukimpiga tofali mwizi wa simu unaona raha,pambafuuuMa.p.u.mbu yako wewe, maharamia wakubwa nyie. Dawa yenu inachemka, vuteni subra
Hii mbona ndogo zipo adhabu nyingine nying polis siyo kuzuri kna watu wanafkiri n movie hii ila yapo mateso zaid ya haya tena hili n dogo
Anayeniita mbwa ndiye ambaye mtaani kwake anamuua mkwapuaji wa simu ya laki moja.Asante nashukuru mno.mbwa wee kalale huko! angepigwa mwanamke wako ndio ungeandika kiakili
Hii unasema kila kitu