Torres kuwasili Milan leo

Torres kuwasili Milan leo

Gang Chomba

Platinum Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,734
Reaction score
4,871
Mchana huu anataraji kuwasili katika uwanja wa ndege wenye hadhi na wakisasa wa Linate...

Kisha hatua itayofuata ni msafara wa magari ya kifahari sambamba na maelfu ya washabiki watakao msindikiza mpaka La Madonnina Clinic ambapo atakwenda kupimwa afya na na safari itaelekea kwenda kuungana na tupsi ya Rossoneli.

Jumatatu nguli huyu anatazamiwa kutambulishwa rasmi kwa washabiki katika matuta ya Viazi.

Forza Torres...
Forza Gang Chomba...
Forza il Diavolo...

torres-joy-490ai_7.jpg

Fernando Torres has arrived in Milan, but it's reported Chelsea are actually paying £3.1m to make the move.

The striker agreed terms yesterday for a two-season loan with option to add a third year to his contract with the Rossoneri.

He flew in this afternoon for his medical and was greeted at Linate airport by around 200 fans along with CEO Adriano Galliani.

The terms of the deal have raised some significant questions and the Corriere della Sera newspaper has its theory on the situation.

According to the paper, Chelsea will pay €2m per season (£1.6m) of his wages over the two years with Milan providing the other €4m (£3.1m).

It is a free loan, so Milan will not be paying for the privilege of using the Spanish centre-forward.

Torres has a contract with Chelsea until June 2016, so when the loan spell ends he will be a free agent, meaning Milan don't need an option to make the buy permanent.

Chelsea paid £50m to sign Torres from Liverpool in January 2011, but are effectively paying Milan €4m to take him off their hands.
It is reported the loan scenario is to make the ‘sale' look less bad on their balance sheet.

Source: FootballItalia
 
mkuu hongera kuwekea nakshi maandiko yako,nimependa ulivyowasilisha taarifa kumpamba Tores,ishu kiwango mengine bwembwe
 
amewasili saa saba na dakika 3 mchana wa leo...
Torres mshambuliaji mwenye kila kitu amesema ni heshima kuu maishani mwake kuvaa uzi wa Milan.
 
Torres aliondoka liverpool mwaka 2011 akisema eti kwenye mkataba wake timu(liverpool) isipofuzu champions league ni lazima aondoke, sasa yuko wapi ac milan kulee nafasi ya 7 sijui 8 hakuna harufu ya champions wala uropa iwe ni mwaka huu au mwakani. Nasikitika sababu was one of my favourite player na kiwango kimeshuka too soon hadi huzuni, ni kama nilivyohuzunika back then when my favourite Shevchenko alivyoshuka kiwango too soon.
 
Kwanini Torres, kwanini El niño, kwa nini? Kwanini kiwango kimeshuka sana mpaka hauzwe kwa mkopo? So sad, bora hata angerudu Vecente Calderon pale na Atletico Madrid afadhali angecheza hata robo fainali za champions league.
 
we kaa na kumbukumbu zako tu hizo za enzi ya mwalimu.
Mwenzio anakwambia anajiona mpya kwa kuvaa gwanda la Buluda
 
Kwanini Torres, kwanini El niño, kwa nini? Kwanini kiwango kimeshuka sana mpaka hauzwe kwa mkopo? So sad, bora hata angerudu Vecente Calderon pale na Atletico Madrid afadhali angecheza hata robo fainali za champions league.

hao Atretico miaka 10 iliopita wamefanya nini katika champions league?

Tuliviona vitimu kama hivyo vikija na kuondoka kama harufu ya ushuzi...

Ila Milan tutabaki kuwa Milan.
.
 
Mchana huu anataraji kuwasili katika uwanja wa ndege wenye hadhi na wakisasa wa Linate...

Kisha hatua itayofuata ni msafara wa magari ya kifahari sambamba na maelfu ya washabiki watakao msindikiza mpaka La Madonnina Clinic ambapo atakwenda kupimwa afya na na safari itaelekea kwenda kuungana na tupsi ya Rossoneli.

Jumatatu nguli huyu anatazamiwa kutambulishwa rasmi kwa washabiki katika matuta ya Viazi.

Forza Torres...
Forza Gang Chomba...
Forza il Diavolo...

BwSW6iOIgAAXXFe.jpg
 
hao Atretico miaka 10 iliopita wamefanya nini katika champions league?

Tuliviona vitimu kama hivyo vikija na kuondoka kama harufu ya ushuzi...

Ila Milan tutabaki kuwa Milan.
.

Mimi ni Real Madrid member, Atletico ni wapinzani wetu wakubwa katika soka, lakini usiniambia hujui Atletico Madrid wamefanya nini last few years. Kwani hujui ndio run-up wa UEFA champions league 2013-14?
Ok ngoja nikukumbushe kama umesahau, vile ni 2 times UEFA Europa league 2009-10 na 20011-12.
Na watu kama Torres, Agüero, Falcao, Costa na wengineo wametoka pale.
 
kwanza pole...coz madrid wamejamba leo.
Then Milan ni timu kubwa kuliko Atretico.

Then nxt tym usithubutu kutaja majina...
Maana utaumbuka.

Kwa leo nakustiri
 
Nilikuwa naangalia hapa game ya Madrid mwanzo mwisho, wamepoteza lakini hakuna noma, makosa yameoneka yako wapi na ligi ndio kwanza inaanza.
Kuhusu topic yetu, mi nilikuwa najaribu kukupa kumbkumbu ya Atletico wamefana nini hivi miaka ya karibuni kama ulivyotaka, au unasahau unaandika nini?
Kuhusu Torres na ndoto za UEFA Champions bora asahau tu, kwasababu Milan haipo kwenye orodha ya timu zinazopewa nafasi kwenye mashindano ya 2014-15.

HALAA MADRID!
 
Mchana huu anataraji kuwasili katika uwanja wa ndege wenye hadhi na wakisasa wa Linate...

Kisha hatua itayofuata ni msafara wa magari ya kifahari sambamba na maelfu ya washabiki watakao msindikiza mpaka La Madonnina Clinic ambapo atakwenda kupimwa afya na na safari itaelekea kwenda kuungana na tupsi ya Rossoneli.

Jumatatu nguli huyu anatazamiwa kutambulishwa rasmi kwa washabiki katika matuta ya Viazi.

Forza Torres...
Forza Gang Chomba...
Forza il Diavolo...
Torres mzigo....
 
Nilikuwa naangalia hapa game ya Madrid mwanzo mwisho, wamepoteza lakini hakuna noma, makosa yameoneka yako wapi na ligi ndio kwanza inaanza.
Kuhusu topic yetu, mi nilikuwa najaribu kukupa kumbkumbu ya Atletico wamefana nini hivi miaka ya karibuni kama ulivyotaka, au unasahau unaandika nini?
Kuhusu Torres na ndoto za UEFA Champions bora asahau tu, kwasababu Milan haipo kwenye orodha ya timu zinazopewa nafasi kwenye mashindano ya 2014-15.

HALAA MADRID!

mkuu timu itaoewaje nafasi ile hali haipo kwenye hayo mashindano?

But msimu unaokuja maji mtaita mma na uji mtaita "......"
 
Back
Top Bottom