Search engine haiwezi kuamua ubora au spidi ya kudaunlodi maana yenyewe inachofanya ni kukuonesha tu mafaili yalipo. Ukiondoa spidi ya intaneti, idadi ya seeders ndio inaamua kama mzigo utashuka haraka au la. Umakini wako wakati wa kuchagua torrent file ndio unatakiwa, kwa sasa unaweza kutumia yoyote.