Torch Browser iko poa

Gtrury

Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
79
Reaction score
20
Habari zenu wakuu?kuna hii browser Torch imekaa poa ukiwa youtube unadownload moja kwa moja na ku save kwenye computer yako hauhitaji software ya kudownload kutoka youtube pia ina torrent moja kwa moja cha kufanya wewe ni kuweka torrent on au off.
kudownload torch browser ni bule kabisa na ina 4 mb.
 
yeah nimeicheck , iko poa ila ni kama kusema ni ileile chrome tu wameongezea sanasana uwezo wa kudownload torrents na mbwembwe zingine kidogo..but kila kitu its just a chrome browser!!
 

Mkuu Gtrury, kama vipi ungetuwekea link ili tuipakue.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…