Topic gani za primary na secondary skuli unazokumbuka ?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wanajamvi

  • Je kuna hadithi yeyote unayokumbuka kwente vile vitabu vya Primary English for Tanzanian Schools. Mr & Mrs Daudi, Baraka Neema etc
  • Unakumbuka Hesabu Za magazijuto?????
  • Unakumbuka Tujifunze Lugha yetu na hadithi kama kibanga kampiga Mkoloni na mashairi kama ya sungura sizitaki mbichi hizi
  • Kilimo cha Pamba ...... Kilimo Cha Mpira Malaya Kilimo cha buni ........
  • Vitabu vya Mabala the farmer and Hawa the Bus Driver, etc
  • Khamis Hebu Lile Beberu Baya Chinja Ndipo........ teh teh Sijui kwenye Chemistry unakumbuka nini?
  • Unakumbuka nini kwenye somo la Biolojia au physcis geopraphy,etc

Tukumbushane any interesting story ,subject au topic ya kanumbas schoools enzi hizo
 
Alitoka siku moja njaa aliposikia ,Njaaa asliposikia sungura nakuambia
sikue ile akaenda porini kutembelea akayaona mataunda mtini yameenea
Sungura akayapenda mtini akasogea mtini nakumabia

Karuka tena karuka, matunda hakufikia
karuka mpaka kachoka . mwishowe akalegea
....................

NB:
Wenye kumbukumb anaweza kuendeleza
Miwshowe sungura eti alibaki kusema hayataki matunda mabichi kumbe ukweli alishindwa kuyafikia

Hii ilikuwa ni darasa la tatu somo la kiswahili Kitabu tujifune lugha yetu siku hizi hizi wanatumia vitabu gani


Karudi baba 1ja toka safri ya mbali ,kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili
watototo wake waka ili kumtaka hali
................

NB
Mwenye kumbukumbu anaweza kuendeleza


hili Shairi ilikuwa darasa la Sita Tujifunze lugha yetu mambo. Hapo tulikuwa tunafundiswa mambo ya vina na mizani. ile nimesahau nini maana ya neno mizani?
 
Back
Top Bottom