Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Ile NSSF ya Mwanza si ina rooms 400+? Ikikamilika inaweza kutuwakilisha!
Nirekebisheni kama nimekosea😆😆
Nirekebisheni kama nimekosea😆😆
Mkuu hawa wameangalia idadi ya vyumba sio quality ya hotel ndio mana nikawalinganisha na ngurdoto kama imekua quality ningewalinganisha na Serengeti Bilila kempiskySasa ile nayo unaiita hotel kubwa?
Hata Kaskazini tu haiingii top 20