Jamani kuna NGOs za kimarekani zinalipa achaneni na mambo ya kizamani kuulizia kampuni ungeulizia hivyo wakati kampuni ni taasisi za serikali hata hivyo kuna taasisi za serikali kama ewura etc zile ambazo ni authority zinalipa sana.
Mkuu hiyo kasumba ni kwa makampuni yote ya simu?
Hao ni bure kabisa wapo nyuma ya ShoppersKuna NGO moja inaitwa Concern Worldwide naona wako juu sana ukicheki scale zao
Hao ni bure kabisa wapo nyuma ya Shoppers
embu twambie korosho, wafanyakaz wa kawaida wanalipwaje hapo kwenye hiyo campany.
kwa navyosikia ni barrick,precision air,tbl na dt diobbie.
kiukweli kampuni ikiwa huifanyii kazi utaona inalipa au watakwambia wana maslahi mazuri,na kwako unaona bado.ila ki ukweli zinakua nzuri ukizisikia ila ukiziingia inaweza kukuboa.
Audit Firm - www.vabusiness.co.tzWeka Categories
»Mining industries--Barricks Golg Mine
»Bank industries---Standard charted
»Manufacturing industries--MM steel
»Telecom industries----Helios Tower/smile com
»Construction industries---CATAPILLAR
»Logistics---Safari cargo
Tcc jit ni noma kabisa, wana kibunda hatari mnooo.What i know ni kwamba last year nikiwa chuo lecturer wangu wa Industrial economics aliniambia kuna kampuni ipo morogoro inaitwa Alliance One Tobacco Tanzania Ltd inalipa mishahara mikubwa mno, nakumbuka aliongea kitu kama $ 40,000 hiv kwa managerial level. Kama ni hivo hata hawa wa chini watakua wanapata kiasi kikubwa mno. Hii ni kampuni iliyopo chini ya mwavuli wa multi national kampani moja inaitwa ALLIANCE ONE INTERNATIONAL INC. Naskia hata TCC wapo juu wanapata sana faida makampuni ya Tobacco
graduate huwezi pata tanapa... tra pia huwezi pata.... labda uwe kibaka ktk cover ya hayo makampuni... kifupi ktk mashirika ya umma huwezi pata kwa figure uliy taja labda uje na maelezo ya kutosha... UN wenyewe kwa graduate ambaye sio international staff hana uzoefu ana cheza na figure ya 3-5M na tano hafiki kwa Mara moja na kufika hizo level ni muda mwingine ni plus benefits...! watanzania wana zalaulika tu ktk mashirika na taasisi za kimataifa na haya ni wenyewe tume yataka... umimi na ubinafsi wa kupunguziana mishahara... wenye makampuni wazungu washaweka mishahara minono Ila wenye roho mbaya waswahili wanaenda kwa bosi wana punguza unalipwa 3M unazani umepata kumbe Hanna kitu... ukipata fursa ya kwenda ktk ajira kampuni hiyo hiyo cheo hiko hiko ktk nchi ya jirani utakuta una pewa 15M na kuendelea una anza kusifia kampuni safi sana INA lipa UN wanalipa sijui USAID ni balaa... ubalozini hacha kabisa na watoto una someshewa...BEst Companies that pays more apart from UN agencies ni hizi
Barrick
Tanapa
Lafarge
Usaid
tcra
Artumas
Gapco, total Orxy BP and the like
TPA
TRA
NB: by paying more I mean graduate mwenye at leat 5years experience anapata around take home ya 3-5m
upewi hizo pesa labla hiyo itakuwa pesa za kuingiza kwa mwaka hivyo ukigawa kwa miezi kumi na mbili ndio utafahamu unalipwa nini... ondoa na pesa ya serikali utapa ya kwako na michango mingine ukitoa... Ila $40,000 kwa mwezi upewi... wabongo walio ziwahi hizi kampuni wamepiga fitina...Tcc jit ni noma kabisa, wana kibunda hatari mnooo.