Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 776
VictoireTukana utakavyotukana,hayo ni maneno tu,hunijui sikujui,mnapractice ngono zembe mnategemea nini?mmekuwa wapenda ngono utafikiri ndo uhai wenu,no wonder BOTHA aliwaambia kazi yenu ni kupenda ngono na masherehe,UKIMWI NDO KIBOKO YENU
Pengine mwenzetu una jinsia zote ambazo ni active kiasi kwamba unamaliza hamu zote wewe mwenyewe ndio maana wasema hivyo. Vinginevyo unakosea kumbuka usemi "Kulala kwa nje mwenye kupata ajali hajulikani".Tukana utakavyotukana,hayo ni maneno tu,hunijui sikujui,mnapractice ngono zembe mnategemea nini?mmekuwa wapenda ngono utafikiri ndo uhai wenu,no wonder BOTHA aliwaambia kazi yenu ni kupenda ngono na masherehe,UKIMWI NDO KIBOKO YENU
ARV zinapungunza makali ya ugonjwa wa ukimwi,na wala hazizuii maambikizi.for me zimezidisha maambukizi wengi wanaonekana wanene wa afya wanatumia huo uafya wao kuambukiza wengine kwa makusudi.ARV ZIMEPUNGUZA MAKALI KWA WAGONJWA,ZIMEONGEZA MAAMBUKIZIHizi ni absolute numbers au point prevalence? Maana sasa tuna ARVs kibao na hivyo wagonjwa wa HIV wanaishi miaka mingi zaidi. Muacheni huyo Victoire nadhani ana mania huyo.
Wapenda kuvua boxa,na vyupi lazima mfe kwa ngoma,na hivi hata ndomu hamujui kutumia,kufeni tu mtuachie ajira,maana vijana wengi hawana ajira,I WISH ARV ZISINGEKUWEPO[/QUO
Unaishi dunia yako peke yako iaseee....,!!!!angalia wa kwanza huwa wa na mwisho huwa wa .....
Hata ukitumia population sample,bado utapaswa kutumia same population kwenye nchi zote,baada ya hapo unaleta percents... hizi namba ni misleading mnooo!!!!Mkuu na wewe umekosea hapo,umesahau kwamba ni population sample ndio inayotumika kwenye calculations sio population yote. In this case demographic population ndio inatumika, mfano age group au sex.
Mkuu una uhakika na unachokisema ama ?! Anyway ARVs zinafanya zaidi ya hicho ambacho ubongo wako unaweza kufikiri.ARV zinapungunza makali ya ugonjwa wa ukimwi,na wala hazizuii maambikizi.for me zimezidisha maambukizi wengi wanaonekana wanene wa afya wanatumia huo uafya wao kuambukiza wengine kwa makusudi.ARV ZIMEPUNGUZA MAKALI KWA WAGONJWA,ZIMEONGEZA MAAMBUKIZI
naam naam naona nchi zote za wale waabudu sanamu kahtaan
Kumbe Tanzania nayo ni nchi ya waabudu sanamu?aisee hawa watu wanatawala dunia
mmepiga kelele,UKIMWI kwa asilimia kubwa unatokana na uasherati,narudia tena I WISH ARV Zisingekuwepo.