top brauz catalogy

Joined
Jul 25, 2014
Posts
52
Reaction score
3
mambo zenu wana Dada na wanawake wote kwa ujumla hapa ni mie nauza NGUO GRED 1 ZA MTUMBA
KAMA VILE
1:top brauz katalogy
2:skin za kisasa
3:shifon topbrauz
4: sket ndefu
charanga za rangi tofauti
sket za jinzi

5:Bajaji/swaga za ukubwa tofaut
6:brauz top za wadada wanene
7:suluali za kike
mm ni Chinga natembea mtaa kwa mtaaa nipo napatikana maeneo ya Ubungo na sambaxa Nguo kwa oda ukiniagiza lakin mawasiliano ni 0766627147 hii ni kwa wanawake tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…