Freelancer Wakala JF-Expert Member Joined Feb 6, 2016 Posts 1,193 Reaction score 828 Jan 19, 2017 #1 Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,687 Reaction score 19,358 Jan 19, 2017 #2 Haya tumemsikia... TID Kamsahau
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,202 Jan 19, 2017 #3 King kawekwa wapili kutoka mwisho hahaha anataka ligi uyu
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,876 Reaction score 29,057 Jan 19, 2017 #4 Bonus. Baraka da price
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3,282 Reaction score 1,810 Jan 19, 2017 #5 Mapovu said: Bonus. Baraka da price Click to expand... Tatizo mweusi sana
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,857 Reaction score 23,450 Jan 19, 2017 #6 Ali Kiba anafanya nini hapo?
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,876 Reaction score 29,057 Jan 19, 2017 #7 Ibada ya kwanza said: Tatizo mweusi sana Click to expand... Kwahyo hadi nyimbo zake nyeusi?
nyakagwe JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 425 Reaction score 215 Jan 19, 2017 #8 Anao wakubali yeye
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,194 Jan 20, 2017 #9 PAGAN said: Ali Kiba anafanya nini hapo? Click to expand... Hiyo list ya Alawi Junior. Na wewe tengeneza List yako uweke unaowapenda.
PAGAN said: Ali Kiba anafanya nini hapo? Click to expand... Hiyo list ya Alawi Junior. Na wewe tengeneza List yako uweke unaowapenda.
V Von Mo JF-Expert Member Joined May 7, 2012 Posts 1,819 Reaction score 1,188 Jan 20, 2017 #10 Kabla ya Kuweka List wawe wanatoa Vigezo! Siyo unatoa listi hata Key Moja ya Kinanda hujui!
darren gold JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 312 Reaction score 186 Jan 20, 2017 #11 Freelancer Wakala said: Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1. Click to expand... ndio nani huyu huyu alawi alawitiwa!
Freelancer Wakala said: Haya! Leo katika PlanetBongo hiyo ndo Top 5 aliyoitaja Alawi Junior akianzia na namba 5 hadi 1. Click to expand... ndio nani huyu huyu alawi alawitiwa!