Hapo ndo swala la ulimbukeni linapokuja, yaani nyie sababu wazungu wamewekeza sana kwenu na wakenya wengi maskini kubaki kuwa manamba unaona huo ni ufahari. Hakuna nchi yenye maskini wa kutupwa eneo lote la EA kama kenya, kazi kufurahia investment za wazungu ambao wanashirikiana na wanasiasa na matajiri wachache, huku wakenya wengi wakikimbilia nje kufanya kazi za vibarua. Hakuna utumwa mbaya kama huu wa kifikra...