Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Kwa maoni yangu, makocha hawa wako underrated:
1. Patrick Phiri - Simba
2. Kopunovic - Simba
Na wewe Mkuu weka list yako.
Hassan Banyai_Maji maji
1. Abdallah Kibadeni
2. Jamhuri Kihwelu
Mi siwafahamu underrated coaches.. ila overated coaches nchini ni;
1. Hans Pluijm
2. Charles B. Mkwasa
unaleta ushabiki hapa
Kama wewe unaona mi naleta ushabiki ni sawa.. Ila hicho ndicho nachokiamini.
Mi siwafahamu underrated coaches.. ila overated coaches nchini ni;
1. Hans Pluijm
2. Charles B. Mkwasa