Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,232
Wafuatao ni miongoni mwa masikini wakubwa wa akili duniani wanaohitaji maombi yetu;
1.Kama wewe unalea mademu zaidi ya 10 hapa town unawalisha,kuwavisha viwalo vya gucci na D&G na nyumba umewapangia mikocheni lakini hujawahi kumnunulia mama yako hata kipande cha kanga wakati akichana zake akakuvisha ulipokuwa mdogo wewe ndio dunya masikini wa akili.
2.Kama una ujasiri wa kumnunulia demu chips kuku wew ukashindia mihogo na miguu ya kuku na ukaamkia uji wa ndimu baasi wew ni bushoke na masikini mkubwa wa akili.
3.Kama unadhani na unaimani utatajirika kwa madili ya kijiweni na kutegemea mikeka itakutoa baasi unajichelewesha ndugu yangu nawe ni mdananda na masikini wa mkubwa wa akili.
4.Kama wew ni mmbinafsi wa ujuzi na knowledge unapenda kujua mwenyewe ili uonekane upo kwenye level tofauti wakati ukigundisha wenzako haina madhara kwako basi wewe ni bunju na masikini mkubwa wa akili.
5.Kama unaweza kupiteza masaa 4 kusema mwenzio wakati unashughuli zako nyingi za kufanua na sijui umepata wapi muda huo blaza we ni mmbea n masikini mkubwa wa akili.
6.Kama unadhani kwenye nyumba zaibada wanaendaga wazee tu na unamdharau kijana anaesali basi wewe ni kitoto cha shetani na masikini wa mkubwa akili.
7.Kama unaweza kutumia lisaa kumbembeleza demu wako kwenye simu alale lakini una wiki 52 yaani mwaka hujawapigia wazazi wako simu waliokesha nawe wakikubembeleza waksti ukiwa mchanga na wao kujinyima usingizi wewe ni bwege guruwe na masikini mkubwa wa akili.
8.Kama unakipato na unafurahi kuona ndugu zako wakiteseka ukiamini walikua wazembe kwenye utafutaji wacha waumie wewe ni nyau na masikini mkubwa wa akili.
9.Kama unatabia ya kuwapa watoto wa watu vibendi na wakigoma kuvichomoa unawatelekeza na unachukulia poa tu wewe ni mfungwa mtarajiwa wa miaka 30 segerea na maskini mkubwa wa akili.
10.Kama mpaka hadi leo unaamini kunywa pombe na kuvuta sigara ni sifa za mjanja basi wewe ni mgonjwa wa mtarajiwa cancer masikini mkubwa wa akili.
Kama uko kwenye hiyo top 10 una nafasi ya kubadilika as long una uzima ykikomaa kwenye top 10 hiyo itabidi uwe jiwe la mwezi la umaskini mkubwa kuliko (xxm)..
Sent using Jamii Forums mobile app